Skip to main content

Fifty Four Ways to Die in Kenya #Unakufa

1.      Kwa bash unakatika kuku dance mluhya anaku bite mgongo unakufa 
2.      unanunua punda 60k inakupiga teke unakufa
3.      unasomea tourism for four years, unaenda maasai Mara unashtuliwa na simba unakufa
4.      unapea dame mluyha roho yako anaikula unakufa
5.      unanunulia dame mluyha indomie anaisha nguvu anakufa
6.      Unaimba ña sauti ya kutoa nyoka pangoni hio nyoka inatoka inakuumaunakufa
7.      Unanyima Boy child Kiss, Unaenda Kwako unalala Mate InakunyongaUnakufa
8.      unakiss mzee ako na ndevu refu, zinakunyonga unakufa
9.      Unanunulia dem mluhya kuku anakula yote,unalala njaa unakufa
10.  Unakula KDF inakupiga war UNAKUFA.
11.  Unadate mkale anarun away with your heart UNAKUFA.
12.  Unaview status za ‘unakufa‘ unacheka sana unashikwa na muscle contraction za shingo UNAKUFA.

13. Unakosa kuniitia form unalewa unaanguka kwa sewage UNAKUFA.
14.  Unapigwa tear gas hapa Nairobi, unafaint unapelekwa KNH unaekewa kidney ya punda unarusha rusha mateke ovyo ovyo kwa streets unapiga billboard ya infinix unalipukiwa UNAKUFA.
15.  Unakataa nikushike unashikwa na homa UNAKUFA.
16.  Unajiona beast unavybe dem wa Strath/USIU, Kizungu inakunyonga UNAKUFA.
17.  Nakutext unalenga text yangu alafu simu inazima unaeka kwa charger inalipuka UNAKUFA.
18.  Unaspank dem mkamba anatoa vumbi unapata TB UNAKUFA.
19.  Unasmash dem na doggy style unapata rabies UNAKUFA.
20.  Mnanyanduana missionary mnashikwa na kanisa mnasulubiwa MNAKUFA.
21.  Unangangania dem mnono akusugue anategwa anakuangukia UNAKUFA.
22.  Unakataa kurombosea boy kwa club unakaa chini kiti inavunjika unaangukiwa na mzinga UNAKUFA.
23.  Unajaribu Kupiga story story inakupiga UNAKUFA.
24.  Unaenda sherehe ya kukata na shoka unakatwa na shoka UNAKUFA.
25.  Dem yako akona sauti ya kutoa nyoka pangoni anaimba nyoka inatoka pangoni inakuuma UNAKUFA.
26.  Dem anajifanya anajua kurombosa anashake kiuno sana ananyamba ANAKUFA.
27.  Unajifanya unajua kurap unatafuna ulimi unanyongwa UNAKUFA.
28.  unakataa kukunywa pombe kwa bash, unarudi nyumbani unakunywa uji moto inakuchoma intestines UNAKUFA.
29.  unakataa kusomea CAT paper inafika inakushinda unaanza kukula pen unaimeza UNAKUFA.
30.  Unampenda mkale anakimbia na mapenzi unakufa
31.  Aliye juu mngoje chini anakuangukia unakufa
32.  Anamkataa dark skin unamchukua light skin deaodrants zinakuchockunakufa
33.  Unakanyangia story miguu zinafura unakufa
34.  Una kiss mkamba ananyonya maji unadehidrate unakufaUnanyima mum 200 unatumia slayqueen 2k anakublok unapatwa na stress unakufa
35.  Unaskia kuna sherehe ya kukata na shoka... Unaenda unakatwa na shoka unakufa
36.  Unakataa kula junk food unajifanya unataka kua healthy alafu unanyongwa na mate ukilala unakufa
37.  Unaota unakula spaghetti na unaishi bedsitter kumbe ulimeza wire za woofer zinakunyonga unakufa
38.  Unapatana na slay queen unajaribu kizungu, inakuwa kizungumkuti, unameza ulimi unakufa
39.  Unakataa kurombosa Boychild kwa club,unakaa chini,stool inavunjika,unaangukiwa na mzinga, inavunjika,inakudunga,unakufa
40.  Unaenda choo za ocha umevaa slippers, unajifanya usikanyage uchafu, unateleza,
41.  unakanyaga shonde, unateleza unaanguka kwa shimo, unakula shonde unafura tumbo unakufa
42.  Unakiss chali ako anakunyonya mate yote kwa mdomo unakauka koo suddenly booom unakufa 
43.  Kidogo kidogo utaskia mtu ameenda kukula samaki na kiherehere anadungwa na kamfupa anakufa 
44.  Ati unanyandua dame kwa bedseater unaskia utamu unasahau unaangukia kisu unakufa
45.  Unaninyima chwani, unatumia crush 5k, juu hujai mwona, anajileta, kumbe ni mekatilili menza, unashtuka unakufa
46.  Unanikataa juu mm ni mdark, unaendea Lightskin kumbe Nyang'au imejibleach, mnazaa duplicate ya Akothee, unashtuka unakufa
47.  Unaingia online, unakimbilia status, unapata ni story na kukufa, unashangaa, ndege inahara kwa mdomo wako, unashtuka unakufa
48.  Unaenda church, unashikwa na haja, masaa unaenda msalani Yesu anarudi anachukua waliokanisani, unabaki duniani, unachomwa unakufa
49.  Unanyima mum 200 unatumia slayqueen 2k anakublok unapatwa na stress unakufa
50.  Unaskia kuna sherehe ya kukata na shoka... Unaenda unakatwa na shoka unakufa
51.  Unakataa kula junk food unajifanya unataka kua healthy alafu unanyongwa na mate ukilala unakufa
52.  Unaota unakula spaghetti na unaishi bedsitter kumbe ulimeza wire za woofer zinakunyonga unakufa
53.  Unapatana na slay queen unajaribu kizungu, inakuwa kizungumkuti, unameza ulimi unakufa
54.  Unakataa kunihug tukipatana unaenda unarukia boy wako mnaanguka chini mnavunjika spinal cord mnakufa


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

How To Set The Right Digital Marketing KPIs For Your Business

Understanding the user lifecycle and its relation to each digital marketing channel makes your digital marketing KPIs much smarter and more effective. Kenya has skyrocketed to become a digital powerhouse in a short amount of time, which means plenty of opportunity for businesses here. Experts note that Kenya is now actually beating out countries like Nigeria in terms of percentage of connected devices, and it’s estimated that the e-commerce market in the country is going to hit billions by 2020, which will be roughly 45.6 percent of the entire East African market. What does this mean for companies trying to reach that market? For one thing, the potential is there for them to succeed, but this is also a very unique market to penetrate. Key in any marketing initiative is knowing your proper KPIs, also known as Key Performance Indicators. In essence, these are concrete goals that you should be setting for your marketing initiatives to guide your strategy. Here are some ke...